Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,297
- 27,064
Hakuna chupi ya kuuzwa dazeni elfu 15 hapo. Hizo chupi za elfu 9, 11 au 12 dazeni."Copy and paste from Facebook "
Ni kama wiki na ushee nilimpa connection hii dada fln anauza mitumba hapa kitaa na amefanikiwa kupata mzigo wake aliagiza chupi 100 zikaja kama alivyo agiza. Siishi Dar lolote likikupata sio Mimi nimeshare nanyi humu Kwa atakae penda afanye hii biashara. Ahsantee sana
NUNUA 1500 KAUZE 3000 FAIDA
SAWA NA MTAJIII π― π₯π₯
πKaribu uanze biashara ya chupi kwa urahisi zaidi kupitia ANNAH-CHIMBO ukiwa na mtaji mdogo kuanzia 75,000/= tu.
πKaribu nikuchanganyie sampo mbali mbali za chupi nzur nzurii (50) zilizopo kwenye fashen ukiwa na 75,000/= tu ukapige hela
πKama bado upo nyumbani na hujui ufanye biashara gan au umejaribu biashara kadhaa bila mafanikio njoo ufanye hii uone tofauti ya biashara ya chupi na biashara zingne za mitaji mikubwa, Kwan haina msimu na inafanyika popote
πBei ya offer ni 1500 tu kuanzia chupi 50
πDozen 18000/= kuanzia dzn 5 tu
πCaton 180,000/= inakua na dzn 10
πOfisi zetu zipo dar tabata chang'ombe mikoani tunatuma kwa uaminifu pia unaruhusiwa kumtuma mtu akufatie uaminifu ndio nguzo yetu,wasiliana nasi kwaππΌππΌππΌππΌ
0712205400 call/sms/watsapp
Kwa heshima kubwa mtu wa watu Kalaga Baho Nongwa nakuomba utoe mawili matatu hapa Kwa faida ya Wana jf wote watakao penda.
View attachment 3100244View attachment 3100245View attachment 3100249
Ahsantee Kwa sana ndio maana inahitajika sana humu kambini.Hakuna chupi ya kuuzwa dazeni elfu 15 hapo. Hizo chupi za elfu 9, 11 au 12 dazeni.
Toa oda wakushonee ya kitambaaYANGU SIIONI
Toa oda wakushonee ya kitambaaYANGU SIIONI
Ukiona chupi imenunuliwa elf 5+ ujue dazeni yake ni zaidi ya elfu 33. Hizi zinapatikana maduka machache sana kariakoo kule concord hotel. Na hukuti wanauza machinga mitaaniAhsantee Kwa sana ndio maana inahitajika sana humu kambini.
Mimi nilimpa connection yule dada akaagiza sijui alinunuaje na alipopta mzigo akaniambia amepata. Sijui kama.umeisha au lah.
Bei ya offer ni 1500 tu kuanzia chupi 50
πDozen 18000/= kuanzia dzn 5 tu
πCaton 180,000/= inakua na dzn
10
Nadhani hata hiyo 18,000/= sio issue kabisa huku mkoani faida Bado imo Kuna chupi tuna nunua 5000+ labda material Sasa tofauti hizi za buku 2-3 Zina wenyewe
Hiyo yenye kama nyuma na hizo zenye mipira iliyoandikwa pembeni ndo zinaweza kuwa dazeni elf 16+ lakin huwaga police policoton yenye cotton kiwango kikubwa kidogoAhsantee Kwa sana ndio maana inahitajika sana humu kambini.
Mimi nilimpa connection yule dada akaagiza sijui alinunuaje na alipopta mzigo akaniambia amepata. Sijui kama.umeisha au lah.
Bei ya offer ni 1500 tu kuanzia chupi 50
πDozen 18000/= kuanzia dzn 5 tu
πCaton 180,000/= inakua na dzn
10
Nadhani hata hiyo 18,000/= sio issue kabisa huku mkoani faida Bado imo Kuna chupi tuna nunua 5000+ labda material Sasa tofauti hizi za buku 2-3 Zina wenyewe
Sahihi katoro huku kwetu nasi tunachimbo panaitwa kariakoo nilinunua 38,000/= dozen 1Ukiona chupi imenunuliwa elf 5+ ujue dazeni yake ni zaidi ya elfu 33. Hizi zinapatikana maduka machache sana kariakoo kule concord hotel. Na hukuti wanauza machinga mitaani
Uishi milele Mkui siku ni kija Dar nitakucheki mkuuHiyo yenye kama nyuma na hizo zenye mipira iliyoandikwa pembeni ndo zinaweza kuwa dazeni elf 16+ lakin huwaga police policoton yenye cotton kiwango kikubwa kidogo
Aina noma ndugu yangu. Kama nitakuwepo tutaonana tu mana niko katika harakat za kurudi zanzibar bongo ina ubepari uliokomaaUishi milele Mkui siku ni kija Dar nitakucheki mkuu
π π π Unamwaga ugali wa watuHakuna chupi ya kuuzwa dazeni elfu 15 hapo. Hizo chupi za elfu 9, 11 au 12 dazeni.
Kuna Hadi dazan ya 5000 .mojajunaenda kuuza buku
Hapana ni kwa faida ya watu wachache sana. Jamii forum watu siriaz wachache mnoo so information za maana hazisaidii watu zaid ya member 100π π π Unamwaga ugali wa watu
Aina noma ndugu yangu. Kama nitakuwepo tutaonana tu mana niko katika harakat za kurudi zanzibar bongo ina ubepari uliokomaa
Mkuu unaweza kunikopesha kama laki 5 hivi? Naweka hati ya eneo lenye thamani ya milion na laki 2Mke wangu anauza hzo chupi kkoo...bei zake ni 8000,9000,10000..na nying 11000..asa wewe unasema bei 15...acha tamaa wewe weka bei sawa na kariakooo..
Sample zote ulizoweka hapo wife anazo hvo usije na lugha ya kusema zimetofautiana...mnataka hyo biashara nenden kariakooo maduka meng bei rahisi..na nyie muuze uko mitaani 1500 au 2000..mzungushe haraka!
Watu wazimaHizi za watoto sio