Chiligati yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chiligati yuko wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jibaba Bonge, Oct 19, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wakuu wana JF hivi Chiligati mbona yupo kimya sana au naye anapumulia mashine? milioko jimboni kwake tafadhari tupeni taarifa. Alisikika sana wakati wa kumuweka pembeni Bashe. Nadhani yeye ndiye katibu mwenezi wa ccm.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  anapumulia mashine hali mbaya jimboni kimsingi hakubaliki kabisa huwa analazimisha kushinda kwa nguvu nguvu sana.
   
 3. u

  urasa JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nilikuwa manyoni kwenye utafiti wangu,jamaa hapa hakubaliki kabisa ukitoa kijiji anachotoka cha kata ya chikuyu,alitumia pesa nyingi sana kwenye kura za maoni kufanya hujuma na ametangaza hatagombea tena,hali nya upinzani hapa ni ndogo sana kwani mwamko wa kisiasa hapa manyoni mashariki mdogo tokana na watu kupewa vitisho,na wapinzani kusimamisha wagombea dhaifu,kasheshe lipo manyoni magharibi,jimbo ni la chadema chini ya mgombea wao lupaa,watu hawtaki kusikia hiki chama kizee,hata rais alipokuja walizomea
   
Loading...