Nashuhudia miner wa mwisho Luis Urzua 54 - Foreman akiingia kwenye capsule, kimlango kinafungwa, engineer wanapiga makofi na kumpungia mikono tayari anavutwa sasa kuelekea juu. God is great!
Kingora kinapigwa Luis Urzua the last miner ndio ameshafika juu, makofi kibao na chereko chereko. Ametoka anakumbatiana na raisi, wanafamilia na miner wenzie. Anaongea kidogo na raisi na sasa wanaimba. Waliobaki sasa waokoaji kutolewa.