Childishness and Predictability in Korean Series

Kumbe na wewe ni mpenzi wa series za kikorea eeh?
Basi mimi ndio napenda hizo episodes nyingi sasa.
Yap ni mpenzi sana wa hizi series, nimeangalia kama kumi hivi na hivi sasa nimemaliza 3 days natazama empire of gold.

episodes nyingi zinachosha na muda wenyewe wa kuangalia ni tatizo.
 
Mimi nimeangalia nyingi hadi idadi sikumbuki,ila sijasahau hata moja.Nazikumbuka zote.

Pole maana zilivyo nzuri kibarua kinaweza kuota nyasi hivihivi.
 
tumia zantel anakifurushi kimoja tsh 25000 kina gb45 30days, wahi kabla hawajakiondoa ni cha muda tu.

zantel huku kwetu speed yake ni ya kusukuma aiseee.. otherwise ni deal la maana
 
currently watching Princess Jamyung and its promising... ni continuation the Land of Wind...
 
Ni nzuri hiyo niliona season 1 tu na ilikua mwaka jana hadi leo natafutaga muendelezo wake siupati.
Si wale mapacha wa kike wawili mmoja alitakiwa kuuawa? Iliniliza kwa kiasi fulani.
 
Ndo hiyo.. nime download torrents zake...
 
Ni nzuri hiyo niliona season 1 tu na ilikua mwaka jana hadi leo natafutaga muendelezo wake siupati.
Si wale mapacha wa kike wawili mmoja alitakiwa kuuawa? Iliniliza kwa kiasi fulani.

ukitaka ku enjoy just download, hizi CD za alibaba majanga matupu
 
Kuna series inaitwa GIANT ya kikorea, ni ya 2010, kama bado hujaiona, Itafute ni nzuri sana ile series.

Ile nayo niliiona season moja tu sijui! Aisee inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…