Ni kweli mkuu me in mpenzi sana hizo is hu lakin nyengne adi unajuta kwa nn umefatilia
Tafuta Joseon Gunman... its still ongoing, but ya ukweli kinoomaNyingi nzuri kwakweli.., hususan hizo za historical kama nilivyosema hapo juu ila nyingi hizi za kisasa kama zinafanana.., alafu mapenzi yao ya sitaki nataka, bora ya kihindi uwa wanatuburudisha na nyimbo..., anyway wanajitahidi ila nadhani hizo modern waandishi wao inabidi wafanye kazi ya ziada kuweka mambo more realistic na kuacha mapendi ya kitoto
Kwa sasa nimerudi kwenye zile historical/periodical.. (yaani za kizamani) ninaangalia kwa sasa Gye Baek; looks promising
Du nilidhani mimi npo peke yangu of course séries sa kikorea utoto mwingi sana. hasa za mapenzi séries km man called god star alikuwa anapewa mashavu km James bond yaan anawaambia nakuja polisi wanajikusanya km mia na still anafanya yake na anaindoka bila kukamatwa,hii kiuhalisia ilikuwa haimake sense
Binafsi sijaiona ila sababu ipo humu itakuwa ni Koreanhiv series ya BRIDAL MASK n ya wakorea ua wajapan?
Binafsi sijaiona ila sababu ipo humu itakuwa ni Korean
Watch Bridal Mask Korean Drama Episodes with subs or downloads
Vipi ni nzuri ?. sasa hivi naangalia Gye Baek (hizi historical/ za zamani zamani) naona angalau zipo okay
Cheki hii site unaweza uka-stream straight na kama una IDM unacapture na ku-downloadWakuu naulizia Torrent nitakayoweza pata hizi series za wakorea hasa zile za kizamani.
Aiseee am in love na hizo korean drama mie kwakweli nazipenda sana
Du nilidhani mimi npo peke yangu of course séries sa kikorea utoto mwingi sana. hasa za mapenzi séries km man called god star alikuwa anapewa mashavu km James bond yaan anawaambia nakuja polisi wanajikusanya km mia na still anafanya yake na anaindoka bila kukamatwa,hii kiuhalisia ilikuwa haimake sense
cheki hii site unaweza uka-stream straight na kama una IDM unacapture na ku-download
All Korean dramas and movies list, with subbed

mkuu hyo idm ndio nn?