Child labour should be eradicated

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Universally recognized as an abomination, child labor is still a reality in our societies. Many children around the world are engaged in an economic activity that greatly compromises their development and their complete personal fulfillment, and may even jeopardise their lives.

1126141

Kuna baadhi ya familia baba ni mlevi mbwa, hao watoto ndio inabidi walishe familia.
Roho hua inauniuma sana nnapokutana na mtoto chini ya miaka 10 amebeba sinia kubwa kichwani anauza karanga ili familia isogeze siku.
 
Inakuuma kinafiki au?
Umewahi kufanya jitihada zozote kuweza kuzisaidia hizo familia?

Mimi naona bora wafanye hivyo ili kuziokoa nafsi zao kuliko kukaa na kujifia kisa maneno ya watu wa aina zenu.

Sisupport ufanyishwaji kazi kwa watoto ila ili kuokoa nafsi zao inabidi wafanye maana hawana msaada mwingine zaidi ya nguvu zao
Kuna baadhi ya familia baba ni mlevi mbwa, hao watoto ndio inabidi walishe familia.
Roho hua inauniuma sana nnapokutana na mtoto chini ya miaka 10 amebeba sinia kubwa kichwa anauza karanga ili familia isogeze siku.
 
Inakuuma kinafiki au?
Umewahi kufanya jitihada zozote kuweza kuzisaidia hizo familia?

Mimi naona bora wafanye hivyo ili kuziokoa nafsi zao kuliko kukaa na kujifia kisa maneno ya watu wa aina zenu.

Sisupport ufanyishwaji kazi kwa watoto ila ili kuokoa nafsi zao inabidi wafanye maana hawana msaada mwingine zaidi ya nguvu zao

Mtoto chini ya miaka 10 unasema ni sawa afanye kazi ili kuokoa nafsi yake?? for real??

Kwa uandishi wako sina shaka una house maid wa miaka 10 kwako.
 
Sina house maid wala sifikirii.
Ila najiuliza nini msaada wako kwa mtoto wa miaka 10 ambaye kakosa chakula au malazi?

Kama ni kupiga domo tu hapa jf, ni bora wakafanya kazi ili kuokoa nafsi zao

Kwa hiyo akisaidia aje kutangaza kua kasaidia? na hata akisaidia watatu unajua watoto wa aina hiyo wako wangapi?

Badala ya kujadili jambo kwa uweledi unajadili kiushari.
 
Sina house maid wala sifikirii.
Ila najiuliza nini msaada wako kwa mtoto wa miaka 10 ambaye kakosa chakula au malazi?

Kama ni kupiga domo tu hapa jf, ni bora wakafanya kazi ili kuokoa nafsi zao
Atasaidia wangapi mkuu? Wapo wengi..hili suala lazima liongelewe
 
Inakuuma kinafiki au?
Umewahi kufanya jitihada zozote kuweza kuzisaidia hizo familia?

Mimi naona bora wafanye hivyo ili kuziokoa nafsi zao kuliko kukaa na kujifia kisa maneno ya watu wa aina zenu.

Sisupport ufanyishwaji kazi kwa watoto ila ili kuokoa nafsi zao inabidi wafanye maana hawana msaada mwingine zaidi ya nguvu zao
Vipi mkuu mbona umekua mkali bila ya sababu yoyote ya msingi?
Niwie radhi kama nimekukwaza, ila hali inasikitisha sana hasa vijijini.
 
Mimi nadhani jamii ikirukia kuwaondoa watoto katika ajira hizo itakuwa ni sawa na kuruka stage. Fikiria kwa asili ya familia kimatumbi zilivyo, unakuta mtoto analelewa kwa bibi na babu ambao hawajiwezi na mtoto huyo anabaki kuwa nguvu kazi muhimu ndani ya familia.
Jamii isipojenga na kusimamia ustawi wa watu wake tutarajie watoto wengi kwenye soko la ajira
 
Back
Top Bottom