Sasa Elli hata ukinipa namba ya simu kule haitanisaidia! sijapata nimpendae na ila katika kutafuta mkate wa kila siku, ni sehemu za shughuli za ujenzi wa Taifa letu
hahahahahaah, kula hakuna hata ka mnara, ni vijijini kweli, guest ni nyumba za tembe sijui kama unazijua zimeezekwa kwa udongo! ni maisha plus Fulani! hahahahhahah, Um handle vizuri Dr. tehe tehe tehe

ahahaaa hii nchi ina vijiji vya ajabu ila watu wanaishi kuna siku nilienda handeni vijijini ndani hukooo yaani nilikoma nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi yaaani nyumba za udongo kijiji kizima halafu vumbiii kukiwa na safari za huko nauchuna kama sio mimi yaani
Kule tunapikiwa lakini ndio hivyo unatakiwa kuwa na moyo wa chuma, maana hata chapati unakuta anakandia kibao kiko kwenye udongo kabisa! tutabeba maji ya kunywa tu, vingine ni huko huko mfano maji ya kuoga wanachota kwenye vimto yanakuwa kama maziwa Fulani hivi lakini yote ni maisha!