Chief Justice Vetting Kenya

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Vetting of chief justice job applicants live on citizen TV.Interview panel ndio itakayopendekeza majina mawali kwa Rais ili kuteuwa CJ.Very transparent process, haya ndio matunda ya people driven constitution review .
 
Kama ni kweli it sounds more transparent on the face of it, japo wanaweza ingia wanamtu wao kbs.... Angalau ni nzuri than our vetting system. Fikiria ya kwetu Jaji Mkuu wa sasa alifanyiwa vetting na kaka yake (kwa maana ya office ya kaka yake) ambae ndie mkuu wa usalama wa Taifa.... Ulitegemea akose.........?
 
Haya ndiyo mambo yanayotakiwa,last time Kibaki alikuwa bado anota katiba ya zamani kafanya teuzi za kiholela tu.odinga alipomkomalia ikawa kazi kweli kweli

Kwa kweli napenda staili ya Odinga sana ya kumkurupusha rival wako halafu una-score political credits
 
Kama kuna mtu anaweza kuangalia Cable newz yoyote ya Kenya, Mi naangalia hapa kupitia Citizen Tv!
kipindi kinachoendelea ni, kuna panel inaendesha interview ya kumsaka Chief Justice.
Nadhani kwa Tz ndio tumekuwa tunatamani kitu kama hiki,
Saiv wanamhoji (high court) Judge Mary Ang'awa.
 
kenyans are very serious na nchi yao na mambo yao...hakuba porojo na usanii sanii kama tulio nao cc hapa. jamaa wametuacha huku tunawatazama
 
ni kweli wakenya wako serious na kazi, hiyo interview ya chief justice nimeiona inarushwa live, hivyo watampata mtu ambae ni compentent sio kama hapa kwenu mtu anaibuka from no where, kenya wanaangalia interglity, anapohojiwa mtu live inawapa nafasi watu kusema competecy na intergrity ya mtu tanzania tujifunze.
 
hayo yote nimatokeo ya kuwa na katiba mpya kwa wakenya, rais hana nguvu ya kumchagua C.J, unlike hapa kwetu ambapo rais ndio amepewa mamlaka ya kumchagua C.J, thus kuna kuwa na muingiliano wa madaraka kati ya main organs of the government.
 
Back
Top Bottom