Chief Godlove apata mpinzani

Mfano kama hizo dolari, ni biashara gani kafanya akalipwa dolari zote kwa pamoja?
Duh, hivyo ni viwango vya cartel huko mexico, au akaamka asubihi kazikuta ?
 
Ukiona mtu analala au kujimwagia pesa hyo hamnazo
Pesa hazioneshwi

Ova
 
Huu utapeli mzuri sana. Unalipisha watu ada kuwa utawaunga kwenye ibada ya shetani wapige pesa. Zile ada ndiyo unaenda kutangaza kuwa ushahidi wa mafanikio yako. Gen Z wanajaa king kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…