Chief Godlove apata mpinzani

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,264
Reaction score
5,172
Tajiri mdogo mwenye pesa nyingi Chief godlove kapata mpinzani.

Mpinzani huyo moonster Billionare anakuja kasi sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kuanika na kuweka hadharani pesa na utajiri wake.

Anajiita mtoto mdogo mwenye mafanikio na anaweka wazi anamuabudu shetani na alikubali kuishi kwenye masharti awe billionea.

Anawahamasisha wanaume na wanawake wawe wanalala na kuamka na pesa, siyo unalala na mawazo ya kulipa madeni na kuamka na mawazo ya kulipa madeni.
Your browser is not able to display this video.


Bilionea huyo kijana analisanamu lake la shetani ambalo analiamini na anaweka wazi anamuabudu shetani na kufuata masharti na ndio yamemfanya bilionea.

"Wewe si unayaogopa masharti? Ni bora ukaishi kwa masharti ukaishi maisha mazuri maisha ya kifahari maisha ya kumiliki dollar, mimi sina njaa angalia huu mjengo wangu wa mabilioni".


Je ndio mwanzo wa mwisho wa Chiefgodlove kwenye social media.

King Kong III

adriz de mbusii
 
Namuonea huruma samia
Anaongoza vichaa
 
Kipindi cha mwendazake watu walikuwa wanaficha sana cash kwa kuogopa kuhojiwa source of funds, na ilikuwa ngumu kuona mtu akionyesha cash nyingi mitandaoni. Sasa hivi naona imekuwa kawaida, watu kupiga picha mihela mingi na kupost, je mamlaka siku hizi hazihoji tena chanzo cha mapato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…