Chidi Mapenzi amesha ripoti central?

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
786
1,367
Wadau nilisikia pale kikaoni Rc Makonda na Kamishna wa madawa ya kulevya wakidai kila moja kumhitaji Chidi Mapenzi na Mfaume. Vipi kuna mwenye update zozote juu ya kukamatwa kwao
 
Nakusaidie namba ya Commissioner Mpya umuulize? maana sasa hivi pale haruhusiwi kwenda iwe kwa mapambio au kusafisha Magari...

Majina ya awamu ya Tatu hayatakiwi kutajwa wala habari zake kujulikana kwa raia pengine nchi inaweza kuyumba. sijui Kipaza sauti wa Dodoma yumo!:rolleyes:
 
amri ilitolewa ende akakamatwe....so labda bado amekaa dukani kwake anasuburi wakamataji wakamuaresti!!
 
Back
Top Bottom