Chid Benz: Mpaka sasa hivi Babu Tale ameshatumia zaidi ya milioni 40 kwa ajili yangu

Mnabishia nini, Babu Tale katumia zaidi ya milioni 60 na risiti zote bado anazo.
Tanzania kuna mambo sana!
 
Mimi nakubaliana na Chid tena inaweza kufika 100 Million au zaidi.
Ukiwabishia tu utasikia kapata stress karudia tena kua chatu acha tum-support.
 
Back
Top Bottom