Chid benz kaacha kutumia unga a.k.a poda

Chid benz kaacha kutumia unga a.k.a poda

Status
Not open for further replies.

Ngoniboysinai

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
590
Reaction score
482
Leo ni siku ambayo mwanamuziki wa hip hop chid benz baada ya kukataa kutumia madawa ya kulevya hatimae leo kasema ameacha.swali ni je vita zidi ya madawa ya kulevya itawezekana?
 
hakuna kisichowezekana ktk hilo.suala ni kujiwekea msimamo na atashinda majaribu.big up!
 
Inafit sn celebrity forum hii,anyway mwambie atoe kipini puani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom