Chicken nuggets ni chakula ambacho watoto wengi wanapendelea wakipata na chipsi pembeni....hata wakubwa pia tunapenda....
Ila leo tuwafurahishe wao zaidi
Huna haja ya kuwapeleka mcdonald au merry brown lol...
amu BAK kingasti MziziMkavu Swts Angel Nylon Afro-Arabica MadameX mimi49 Heaven on Earth [MENTION=11835] [MENTION=11835] BelindaJacob life is Short donlucchese,
You just don't know how many trips I've made to Mickey D's just to get their chicken McNuggets for somebody.
Dah aisee, ebu weka na jinsi ya kutengeneza meat pie & kuandaa noodles! Nawish nijue,buying them is so expensive
You just don't know how many trips I've made to Mickey D's just to get their chicken McNuggets for somebody.
Rais unanunua junk food? KfC, McD, SubWay kwangu noo
Better utaarishe mwenyewe....
Rais unanunua junk food? KfC, McD, SubWay kwangu noo
Mkuu Junk Foods Zina Madhara kwa binadamu bora ujipikie wewe Mwenyewe kuliko kununuwa junk foods.Rais unanunua junk food? KfC, McD, SubWay kwangu noo
utanipikia wewe bibie hiyo Chicken nugets na sosi ya ukwajuBetter utaarishe mwenyewe....
Hongera sana Farkhina, we are what we eat. Alafu kuna watu wanaona kula junk food ndio modern life/kuwa juu. Nawashauri wasione km ni kitu prestige. Kuandaa msosi wako its far worth than going n grab good in drive thru McDView attachment 122446
Ila labda siku moja moja kwa mwezi sio mbaya
Mkuu Junk Foods Zina Madhara kwa binadamu bora ujipikie wewe Mwenyewe kuliko kununuwa junk foods.
utanipikia wewe bibie hiyo Chicken nugets na sosi ya ukwaju
Food is food.
And if it was that bad then almost everyone would either be terribly sick or dead by now.
But no, people are still alive and kicking.
Kama unaweza kuweka jinsi ya kupika mbokoko nitashukuru sana
Food is food.
And if it was that bad then almost everyone would either be terribly sick or dead by now.
But no, people are still alive and kicking.
Food is food.
And if it was that bad then almost everyone would either be terribly sick or dead by now.
But no, people are still alive and kicking.
Ha ha haaa sawa Nyani mi sibishii afu huwa inavutiajeee ebu chek hiiView attachment 122447