Chibulunje alitema jimbo 2015

Chibulunje alitema jimbo 2015

baba bry

Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Mbunge wa chinolwa mh chibulunje hatogombea tena ubng 2015 src eatv
 
Wabunge wengine just making numbers....
 
Huyu miaka yote hiyo si atakuwa kawasaidia sana wananchi wake kwa kuwako muda mwingi Bungeni ?
 
Baada ya hapo utasikia ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au balozi wa nchi
 
Bora kajijua mapema maana 2015 mziki wa CDM wazee wengi wa CCM watakufa na presha.
 
chinolwa ni wap?
BTW hil jina ndo nalckia hapa...its no nws kwakwel coz it make no diff..!
 
Huyu Mzee afadhari ameamua kupumzika kwani Mwaka kila mara wanapogombea huwa anamshinda ila CCM inamgeuzia kbaao.huyu wananchi wake walikuwa wanamsubiri kwa hamu kubwa hasa wa vijiji vya nzali, Mlimwa , dabaro, membe. segera n.k walikuwa wanamsubiri kwa hamukwa kushindwa kuwajegea daraja la uhakika kwenye bonde la Nyasungu hivyo kusababisha karaha kubwa kwao miaka 20 yote aliyoshikiria Jimbo hilo.
 
muda ukifika utasikia "wananchi wangu wameniomba sana niendelee kuwatumikia"
 
hata kama angekomaa , nilishajipanga kuhakikisha anang'oka .
 
chinolwa ni wap?
BTW hil jina ndo nalckia hapa...its no nws kwakwel coz it make no diff..!

Kwa kujibu swali lako ni kwamba jimbo la uchaguzi la Chilonwa liko katika wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma. Mzee Chibulunje amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 1995, na kabla ya hapo alikuwa bw. Kuwayawaya Stephen Kuwayawaya ambaye sasa ni wakili wa kujitegemea.

Hoja hapa sasa ni nini amekifanya kwa wapiga kura wake kama mwakilishi wao kwa vipindi vyote vinne ambavyo amekuwa bungeni? Najua hili ni swali gumu maana kama kuna maeneo ambayo wananchi wake wanaishi katika umaskini, miundo mbinu mibaya, hali mbaya ya upatinaji wa huduma za jamii husani maji na afya, na janga la njaa karibu kila mwaka, basi ni wilaya ya Chamwino kwa ujumla wake, yaani jimbo la Mtera na Chilonwa. Kwa kifupi, mkoa wa Dodoma unahitaji ukombozi wa fikra wa wananchi wake, ili kupata wawawilishi wa kweli katika bunge!
 
Huyu Mzee afadhari ameamua kupumzika kwani Mwaka kila mara wanapogombea huwa anamshinda ila CCM inamgeuzia kbaao.huyu wananchi wake walikuwa wanamsubiri kwa hamu kubwa hasa wa vijiji vya nzali, Mlimwa , dabaro, membe. segera n.k walikuwa wanamsubiri kwa hamukwa kushindwa kuwajegea daraja la uhakika kwenye bonde la Nyasungu hivyo kusababisha karaha kubwa kwao miaka 20 yote aliyoshikiria Jimbo hilo.
Una Uhakika huyo BW MWAKA alikuwa anashinda?
Maana km ni kweli mbona hakwenda mahakamani? au hata kulalamika Ngazi ya CCM Wilaya ya Chamwino.
Chibulunje asiwadanganye hatoweza acha kugombea
Mngewauliza walio kwenye CUT Apex
Kwa kifupi Bw Mwaka aliachwa kwa mbali na kwa upande wa maendeleo sijui mlitaka mpaka hela ziwekwe mifukoni au muwe sawa na Jimbo gani ambalo halina matatizo (Ubungo la Mnyika au Arusha Mjini la Lema au East Vunjo)
Mgawanyo wa fedha za Serikali haupishani wala haupewi kwa ajili ya Mbunge kupiga kelele
Chamwino mpaka Dabalo barabara ni nzuri, njia panda ya Kikombo mpaka Mvumi ni safi
 
Una Uhakika huyo BW MWAKA alikuwa anashinda?
Maana km ni kweli mbona hakwenda mahakamani? au hata kulalamika Ngazi ya CCM Wilaya ya Chamwino.
Chibulunje asiwadanganye hatoweza acha kugombea
Mngewauliza walio kwenye CUT Apex
Kwa kifupi Bw Mwaka aliachwa kwa mbali na kwa upande wa maendeleo sijui mlitaka mpaka hela ziwekwe mifukoni au muwe sawa na Jimbo gani ambalo halina matatizo (Ubungo la Mnyika au Arusha Mjini la Lema au East Vunjo)
Mgawanyo wa fedha za Serikali haupishani wala haupewi kwa ajili ya Mbunge kupiga kelele
Chamwino mpaka Dabalo barabara ni nzuri, njia panda ya Kikombo mpaka Mvumi ni safi[/QUOTE
Labbda wewe si mwenyeji wa Chilonwa, kama ungekuwa mwenyeji ungejua kuwa mwaka 2000 Chibulunje alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mwaka KATIKA KURA ZA MAONI CCM mpaka ikamlazimu Mheshimiwa Mkapa aje kuomba radhi wana Chilonwa na siku ya Kwanza ya Kampeini ilibidi aje Chilonwa baada ya kuzindua Kampeini hizo Mvumi na kuwaomba radhi sana wana Chilonwa na kumtuliza mwaka kuwa bado kijana kwa hiyo CCM bado inamhitaji. Kama wewe ni Chibhulunje bisha hilo.
 
[/QUOTE Labbda wewe si mwenyeji wa Chilonwa, kama ungekuwa mwenyeji ungejua kuwa mwaka 2000 Chibulunje alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mwaka KATIKA KURA ZA MAONI CCM mpaka ikamlazimu Mheshimiwa Mkapa aje kuomba radhi wana Chilonwa na siku ya Kwanza ya Kampeini ilibidi aje Chilonwa baada ya kuzindua Kampeini hizo Mvumi na kuwaomba radhi sana wana Chilonwa na kumtuliza mwaka kuwa bado kijana kwa hiyo CCM bado inamhitaji. Kama wewe ni Chibhulunje bisha hilo.
[/QUOTE]

Sasa kwanini huyo Mwaka aliendelea kubaki Magambani kama kweli alifahamu kwamba anapendwa na wana Chilonwa na yeye ana nia ya dhati ya kuwatumikia wana-Chilonwa?!

Mwaka naye ni opportunistic. Atalisikia kwenye bomba hilo jimbo kwani 2015 litakwenda CDM Mark my words
 
Labbda wewe si mwenyeji wa Chilonwa, kama ungekuwa mwenyeji ungejua kuwa mwaka 2000 Chibulunje alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mwaka KATIKA KURA ZA MAONI CCM mpaka ikamlazimu Mheshimiwa Mkapa aje kuomba radhi wana Chilonwa na siku ya Kwanza ya Kampeini ilibidi aje Chilonwa baada ya kuzindua Kampeini hizo Mvumi na kuwaomba radhi sana wana Chilonwa na kumtuliza mwaka kuwa bado kijana kwa hiyo CCM bado inamhitaji. Kama wewe ni Chibhulunje bisha hilo.
Huo wote ni Uongo, na huyo Mwaka mm nimekutana naye hajalalamika kuwa kaibiwa
Hii ni tabia ya Mashabiki, hata Jimbo la Dododma, Mtera, Bahi kote ni lawama, maamuzi ni Idadi ya kura na Kamati ya Siasa iliamuaje. Kwa 2010 Matokea hayakubadilishwa mkoa wa Dodoma, tungemsikia kafikisha suala hilo NEC, CC

Ushauri mzuri mmepewa na Bobuk
Sasa kwanini huyo Mwaka aliendelea kubaki Magambani kama kweli alifahamu kwamba anapendwa na wana Chilonwa na yeye ana nia ya dhati ya kuwatumikia wana-Chilonwa?!
Mwaka naye ni opportunistic. Atalisikia kwenye bomba hilo jimbo kwani 2015 litakwenda CDM Mark my words
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom