manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,092
- 11,947
Huo wote ni Uongo, na huyo Mwaka mm nimekutana naye hajalalamika kuwa kaibiwa
Hii ni tabia ya Mashabiki, hata Jimbo la Dododma, Mtera, Bahi kote ni lawama, maamuzi ni Idadi ya kura na Kamati ya Siasa iliamuaje. Kwa 2010 Matokea hayakubadilishwa mkoa wa Dodoma, tungemsikia kafikisha suala hilo NEC, CC
Ushauri mzuri mmepewa na Bobuk
Hayo yote tuyaache majibu yatapatikana mawaka 2015, tunamatakia mapumziko mema Mzee wetu Chiburunje baada ya kututumika kwa miaka 20.