Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historia tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida ataimudu....ingekuwa za buku ten au angalau twenty iv tungejichanga.....akanunue mwenyewe na wasafi wenzio.
 
Huyu nae sifa zitakuja zimfilisi abakie historian tu.....kipindi shigongo anamdisi kuhusu gharama za show nilimuona kama hater kumbe alikuwa sahihi......toa bidhaa ambayo hata shabiki yako wa kawaida atanunua.....akanunua mwenyewe na wasafi wenzio.
Mkuu labda ungeshauri atoe bidhaa kwa watu wote wachini wawe na bidhaa zao za chini na wajuu tuwe na bidhaa zetu za juu (Hahahahah), sema soko la watu wa chini lina masimango sana, usiombe masikini atoe buku afu asiridhike na hiyo bidhaa,
 
Angetengeneza hata body splash akafanya basi 40 au 50.
Jamn laki plus..
Bora kitu kitoke zaidi kwa bei ya kawaida kuliko bei kubwa afu utokaji wa bidhaa uwe mdgo..

Sijui mshauri wake wa masuala ya uchumi ni nani.
 
Back
Top Bottom