Hapo wanahisi wapo peponi ukiwashtua tu ugomvi...mtoto hajui kinachoendelea
Nimewahi experience kipindi nakua kwa kuvuta bangi kuna hisia fulani hivi unazipata ukimsimulia mtu anaweza kukucheka na kukudharau lakini wewe unamaanisha,ila watumiaji wa cocaine wanakwambia hii zi zaidi ya bangi inakupeleka mbali mpaka una smile na miundenda inakutokaNimecheka sana...niliwahi kuongea na aliyekuwa mtumiaji wa madawa, akanisimulia mambo ya ajabu....akaniambia kuwa upo wakati alikuwa anajiona yuko pamoja na Bill Clinton, Rais wa Marekani wakati ule wakiwa na mazungumzo ya faragha wakipanga namna nzuri ya kuongoza dunia...Kijana mwenyewe anayepanga mipango na Clinton ni taxi driver....