KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
Majuzi akaenda hospitali, daktari akampima akamwambia bibi TUMBO LIMEJAA GESI, utafanyiwa upasuaji.
Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe, HII GESI YANGU NATAFUTA MWEKEZAJI mwenyewee, haipelekwi DAR ng'ooo. MUNGU ametujalia wana NTWALA gesi BAHARINI hadi MATUMBONI
Hapana chezeya wana Ntwara na gesi yao lol