chezeiya china mobile wewe?

chezeiya china mobile wewe?

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
ili kurahisisha maisha wanakuletea simu yenye mashine ya kunyolea, au vice versa

shave-mobile.jpg
 
ili kurahisisha maisha wanakuletea simu yenye mashine ya kunyolea, au vice versa

shave-mobile.jpg
Ukinunua hii hupati hasara; maana wakiingia kwenye DIGITALI we unaendelea kubaki na kinyoleo tu!
 
Mtajikuta mnanunua visivyonunuliwa mwisho wake mkiambiwa mna kansa mnaanza kuhamaki!
Angalieni jamani!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom