Chezeaaa MMAKONDE weyeeeeeee......

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
jamaa mmoja alikwenda kununua chips. baada ya muda zikawa tayari muuzaji akamuuliza tuweke nini na nini? jamaa akajibu tena kwa kujiamini chilitomato, muuzaji akaweka chill na tomato kisha akamkaribisha mteja wake, ghafla yule jamaa akahamaki na kumwambia muuza chips, we vipi bwana si nimekwambia "chilltomato"? kumbe jamaa alikuwa mmakonde aliposema"CHILLTOMATO" alimaanisha hali tomato.
 
hahaha,sasa yeye kaulizwa tuweke nini,sio huli nini,ila kwa kuwa ni mmakonde basi tunamsamehe.
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…