Jamani hili chama ni nouma.......,tuliache tu....(pole watani pale Msimbazi)....
UHAI CUP si mashindano ya kimataifaMbona mech za kimataifa kama club bingwa afrika huwa hamshindi?
Yote raha tu mkuu........Yaani mamilioni yote ya usajili bado mnazungumzia mechi za Mtani Jembe? Nilidhani mtakuwa mnazungumzia mikakati ya walau kuvuka raundi ya kwanza ya klabu za Afrika baada ya miaka mingi ya kutolewa raundi ya awali
Sema MPAKA siyo MAPAKA.
Yanga timu kubwa waache watan waendekeze migogolo
Kesho mtani tunamkanyaga za kutosha pale Taifa.....
Naomba unikumbushe matokeo, hii mechi iliishaje pale Taifa kweli?
Naomba unikumbushe matokeo, hii mechi iliishaje pale Taifa kweli?