Baada ya mazishi ya jamaa mmoja huko Shinyanga, mchungaji alisimama akaongea na waumini wake. Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Mchungaji: Waumini mnaombwa kutoa michango ili kujenga ukuta (uzio) kuzungushia eneo la makaburi. Je, kuna mtu mwenye swali?
Muumini: Je kuna marehemu yeyote aliyewahi kotoroka? Kama hakuna ukuta wa nini sasa...?
Duh!