chezea suti wewe

Wamependeza mbaaaaaaaaaaaaya!!
 
Kwa mara ya kwanza timu angalau imevaa
Vazi ikapendeza,inatakiwa waelekezwe namna
sasa ukiwa umevaa suti namna gani ukae
pia hata kutembea.

Kwaujumla wako vizuri yaani wamependeza
sana tena sana.
 
Wamependeza sana....ila wengine wamefunga button zote.Alivyovyaa JK ndo maneno ya suit inataka
 
Yale matrack na masweta mmh!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyo mwrnye suti ya kijivu kama yasheikh yahya nae hakupimwa vizuri na fundi? Imemvaa kawaharibia picha yao bwana!
 
Huyo mwrnye suti ya kijivu kama yasheikh yahya nae hakupimwa vizuri na fundi? Imemvaa kawaharibia picha yao bwana!

Na hao wenye nguo za rangi ya bluu mkono wa kushoto na nyuma mbona hamuwasemi?? Mimi napenda suti hii hapa chini kwa ajili ya Taifa Netball Queens au wale akina dada wacheza mpira (nimesahau official name yao):


 
kazi ya sheria ngoi hii eti da katuokoa na aibu kudadeki....sasa hii inaonekana ni timu ya taifa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…