Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
- Thread starter
-
- #21
Acha libaki fundisho kwetu sisi.Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya[emoji16]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sio kws wanaume matajiri ni kwa MTU yyte mwenye akili timamu.Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya[emoji16]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kula maisha na binti mbichi na kumuacha mama watoto nyumbani ni dalili ya stress.Yani anahela akashindwa kwenda kutafuta mtoto mbichi wa kula nae maisha!
Funguka mkuu ili wengine tujifunze.Me mwenyewe ni mfano hai wa scenario hiyo.
Hakika sitosahau yalionikuta 10 years back. I swear niliyumba vibaya mno!! Mambo yangu mengi sana yaliharibika vibaya mno.......
Haya mapenzi jamani, tuyaache tu kama yaliyo. Kikubwa tumtangulize tu Mungu, katika maisha yetu.
Tafuta pesa ikutoshe ndo utajua mapenzi yana nafasi kubwa na sio ngono unayoifikiriaYani anahela akashindwa kwenda kutafuta mtoto mbichi wa kula nae maisha!
FikiriaKwa nini mkuu?
"Tumia komoni sensi"
One day nitafanya hivyo chief.Funguka mkuu ili wengine tujifunze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya[emoji16]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]