jamani mapenzi yananitatiza eeh, jamani mapenzi yananitatiza eeh. kulala cwez , kusema cwez ,chakula ctaki nakiona sumu ,jamani mapenzi yananitatiza eeh ,mapenzi yamenivaa nami nipo ugenini,mapenzi yamenivaa nami nipo ugenini, akili imenipaa hata njia siioni , akili imenipaa hata njia siioni ,mapenzi yana hadaa ya kweli nawaambieni , mapenzi yana hadaa ya kweli nawaambieni , jamani mapenzi yananitatiza eeh, jamani mapenzi yananitatiza eeh , yakweli nawaambieni myatie akilini , ya kweli nawaambieni myatie akilini , msipende ugenini mtaingia hatiani mtalala majaani wazimu tele vichwani