M Mundu JF-Expert Member Sep 26, 2008 2,707 638 Sep 25, 2012 #4 Emanuel Makofia said: anabip akipigiwa atalalama! Click to expand... Hapo amepigiwa...anaogopa kupokea...anatoka baru
Emanuel Makofia said: anabip akipigiwa atalalama! Click to expand... Hapo amepigiwa...anaogopa kupokea...anatoka baru
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,955 93,932 Sep 25, 2012 #5 Las Mas Bobos said: Yu wapi mamba? Click to expand... ni kwamba hauoni picha au hujui muonekano wa mamba? mamba ni hicho kiumbe mfano wa mjusi upande wa kushoto wa picha
Las Mas Bobos said: Yu wapi mamba? Click to expand... ni kwamba hauoni picha au hujui muonekano wa mamba? mamba ni hicho kiumbe mfano wa mjusi upande wa kushoto wa picha
tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 Sep 25, 2012 #6 Hussein Njovu said: Click to expand... Sasa anakimbia kwenda wapi? Akisimama analiwa, akiingia majini analiwa - hapo chacha.
Hussein Njovu said: Click to expand... Sasa anakimbia kwenda wapi? Akisimama analiwa, akiingia majini analiwa - hapo chacha.