Chezea goma we

Chezea goma we

Nimempenda huyo mwenye chupi na socks nyekundu. Sasa hilo gagulo la bibi harusi lafanya nini kwenye vita?
Hiyo kitu aliyoibeba huwa naipenda sana...inaitwa RPG (Rocket Propelled Grenade)
 
155969_358854684206862_1115330388_n.jpg
Mbuzi Mzee umenikumbusha mbali sana,,,,salute!!
 
Hio Kiboko. Mwanadada ana rocket launcher?
 
Usista du hapo hapo maana curl zimekubali juu, mama mlezi at the same time......mwanajeshi hapo hapo. lol only in Africa.

Sio mwanajeshi kwa maana ya mwanajeshi; ni Game Ranger.

Bazazi!
 
Baadhi ya picha hizi ni zile za Liberia enzi za Charlz Taylor?
 
Back
Top Bottom