englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wangeshinda hao kelele za hapo kwenye vyombo vyao vya habari pasingetosha...
Super mario!!
Msimu ujao ndana ya jezi ya washika bunduki wa London
Wangeshinda hao kelele za hapo kwenye vyombo vyao vya habari pasingetosha...
Nashukuru sana england walivyofunga tena kawapiga mbaya wao balotelli
Super mario!!
Ndo wanavyovaa siku hizi. sababu bado sijaijua.mbona baloteli kavaa viatu tofauti au macho yangu?