Cheyo aishambulia CHADEMA bungeni

Issue ya mgomo wa madaktari itaicost chadema kuipotezea umaarufu kwa wananchi,ni vyema sasa wakajiweka nao kando na kusonga mbele
 
Ni ujinga na upumbav wa hali ya juu,mtu na akili yako unaleta thread ya namna hii? Jf sasa ni kama gazeti la sani!hii inatusaidia nini sisi? Mashiko hapa yako wapi? Cheyo ili iweje? Zumbukuku kama wewe ni janga kwa tz,hauna mchango wowote zaidi ya kutoa mapovu tu.
 

That is disgusting, ccm+cuf+udp is equal to coalition of the blind
 
ili waende vijana wakafanye upuuzi kama wanaoufanya baadhi yao bungeni?
 
Huyu mzee alikuwa mjenga hoja mzuri naona ccm washa mbemenda
 
Jidulamabambase,Ng'wanangwa mlimhola? Mzee Cheyo naona ni uzee unamsumbua,better akapumzika sasa,after all chama chake sijui hata kama kina mkutano mkuu,au kamati kuu,maana sijawahi kusikia kupita media au kuambiwa na mtu kuwa kuna halmashauri,kamati kuu wala mkutano mkuu umefanyika.

Najua ni fadhila ya CCM tu na kwa magamba ina wasaidia kwao kuwagawa watu kipindi cha kupiga kura
 
huyo mzee hamna kitu kichwani kazi yake kuchukua machangudoa pale jaques masaki,nilipomuona cku hiyo nikagundua kumbe ndo mana hana akili yani watu wa bariadi wamepata hasara hawna mbunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…