Huyu mzee achana naye siku zake zi karibu , si amemwona mzee mwenzake alivyopewa heshima kwenye kifo chake ,naye anabembeleza hili itakapofika time apelekwe kule jubelee ,hivi huyumzee bado anazo akili
Mkuu haihitaji degree kujua alikuwa anashambulia CDM.Na ndiyo maana kila neno alilokuwa anatamka lilikuwa linashangiliwa kwa mayowe na wabunge wa CCM na CUF
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".
Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.
Pamoja sana Mkuu. Nimekusoma.
I believe that Cheyo at his old age has lost the vigor to fight and has resort to an old saying that "if you can't fight them join them".
I believe that Cheyo at his old age has lost the vigor to fight and has resort to an old saying that "if you can't fight them join them".
Kwi Kwi Kwi....Eti ni mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Jamani muacheni Cheyo agange njaa. Unajua alikuwa tajiri akashuka kuelekea masikini wa kutupwa na sasa amepata auheni.Adha aliyokumbana nayo katika umasiki huo alishaapa kutokuiludia hata kama nikunywa damu ya mtu.
Anajua fika asilimia ya kuwakirisha jimbo lake 2015 ni ndogo mno hivyo anatafuta fadhila angalau ateuliwe mwenyekiti wa Bodi ya Pamba