Sasa unategemea Cheyo atetee upinzani? Akikosea tu ubunge hana.
Vijana jitayarisheni kuwaondoa wazee waliozidi miaka sitini na tano wapumzike jamani. Zile siasa za mwalimu za mwaka 47 za kudanganyana zimepitwa na wakati. Vijana Tafakani ndio wakati wenu mchukue hatua, shauri yenu mtakuja kulaumiwa.............
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu". Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".
Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.
Njaaa mbaya sana
Njaa na upungufu wa mawazo. Doctors ni watu wenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo na hawawezi kushinikizwa kugoma. Jamani nani anadhani kuwa Drs wanalipwa REASONABLY?Njaaa mbaya sana
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".
Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.
Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja.
Cheyo pia ametumia muda mwingi kusifu hotuba ya Rais aliyotoa kuhusu madaktari na akaomba wananchi wote wamuunge mkono Rais kwa hotuba yake nzuri.
Kwa maneno yake hayo ya leo Cheyo anaungana na wabunge wa CCM na CUF kushambulia CDM bungeni huku wakiihami Serikali.
Hapo kwenye red, upo sahihi kabisa. Hata mimi nimemsikia na ameongea kwa kifupi sana. Nadhani mleta thread anasababu zake binafsi. Inaonekana either ni kuleta propaganda za ccm kuhusu mgomo wa madakitari au anataka kumgombanisha cheyo na cdm. Na huu ni upuuzi kwa gt!
....
Mzee mapesa!!
Huyu mzee ukimuangalia tu, unagundua kuwa anamatatizo makubwa ya mbongo!!
Mpaka sasa hivi nenda Dododma ndiye mbunge anayeongoza kuchuka machangu wadogowadogo kwenye vilabu vya usiku!!!
Unategema akili hapo!!
..
Cheyo kuishambulia CDM si habari kwani hata 2010 alimpigia debe JK