Check namba huwa haichukui muda kama ilivyo kwenye suala lako. Na ukiona hivyo, jua Luna tatizo.
Kwa hali ya kawaida Afisa Utumishi anatakia apeleke Hazina taarifa za muajiriwa mpya. Na huko Hazina kuna hatua za kuthibitishwa na hapo ndipo unapewa check number. Hatua hii ikifikiwa, basi na mshahara utakuwa unaingia kwenye akaunti yako.