Cheo ni dhamana liwe funzo kwa vijana

Kosa lake alikomba mboga
Alishaambiwa na Polepole asithubutu kwenda kigamboni, hakusikia. Hajui kwamba linalotoka kwa Polepole au Bashiru maana yake Jiwe kalibariki? Na kwa kumtusi zaidi mpinzani wake kakabidhiwa wizara mpya na nyeti.
 
Bahati nzuri kwenye kuvunjwa JIJI hakuna ajira itakayopotea.
 
Wasiwasi wangu ni kuwa Mkuu kamnunia toka wakati anajitosa kwenye Ubunge! Maana hata kumtaja tu hakuna!

Alikuwepo lakini?
We unazani ishu no kujitosa kwenye ubung😂
File linalomhisu kwa mzee baba lilishakuwa zito, alikuwa abebeki tena.
 
Singida kuna wazee hatari sana wanaoweza kumsaidia sana madaraka yakamrejea ndani ya wiki mbili tu:cool::cool::cool::cool::cool::cool: maana vyeo vingi kwa bongo bila kutumia PAWA huwi kiongozi
 
Leo nimeamini kuwa cheo ni dhamana hakika.

Msafara wa mh rais wa JMT mkoani dsm.

Haijazoeleka kwenye akili za watu hasa wakaazi wa dsm kushuhudia shughuli za ufunguzi wa miradi kama ya leo kutomuona na kumsikikiza Paul Makonda akihutubia.

Hakika hili liwe fundisho kwa vijana wanao kabidhiwa majukumu ya kuwaongoza wananchi kuwa madaraka ni sawa na nguo ya kuazima.

Leo hii Paul Makonda kageuka mtazamaji na msikilizaji tu wa hotuba za viongozi wakuu na wale wa mkoa wa Dsm!!!

Hili liwe fundisho.
Hafai huyo hata kuwa mtendaji wa mtaa
 
Kama Mbowe tu, alikuwa mbunge na KUB, Leo NI mtazamaji tu wa shughuli za bunge.
 
Yaani huwa namuomba Sana Mungu ajae aje ayafilisi haya mafisadi ya awamu hii yote azisake na kuzitaifisha Mali zao zote ndani na nje nchi yaani Hadi watembelee ndala, mishahara yao hazilingani na Mali wanazomiliki aombe taarifa kwa wananchi wampe taarifa za Mali zao Ili nao wanywee kikombe walichowanywesha wengine.
 
Maisha ni mzunguko leo Rashidi Gwajima ndie boss wa bashite.Yaani Gwajima aliyesingiziwa kesi ya unga kwa hisia za chuki ni Mkubwa kuliko "ndani ya mkoa wangu" amekua Kama kibaka.Nikikumbuka alivyokuwa akimpelekesha mambo sasa kama house boy wake watu wazima wanampigia saluti mvaa pensi kweli dunia duara.
 
Wasiwasi wangu ni kuwa Mkuu kamnunia toka wakati anajitosa kwenye Ubunge! Maana hata kumtaja tu hakuna!

Alikuwepo lakini?
Ile ilikuwa ni ajenda binafsi, haikuwa na baraka ya mshua. Maana angekuwa anataka awe mbunge basi tungesikia anamtaja katika kampeni na hata yeye angeamua angempitisha bila shida.

Kama ameweza mpitisha gwajima kwann ashindwe kumpitisha makonda.

So it means mshua alichukizwa na movement za kijana na maamuzi ambayo hakuwa na baraka nayo.
 
Leo nimeamini kuwa cheo ni dhamana hakika.

Msafara wa mh rais wa JMT mkoani dsm.

Haijazoeleka kwenye akili za watu hasa wakaazi wa dsm kushuhudia shughuli za ufunguzi wa miradi kama ya leo kutomuona na kumsikikiza Paul Makonda akihutubia.

Hakika hili liwe fundisho kwa vijana wanao kabidhiwa majukumu ya kuwaongoza wananchi kuwa madaraka ni sawa na nguo ya kuazima.

Leo hii Paul Makonda kageuka mtazamaji na msikilizaji tu wa hotuba za viongozi wakuu na wale wa mkoa wa Dsm!!!

Hili liwe fundisho.
Usikurupuke kwa usivyovijua....anachofanya sasa ni kikubwa tena kwa uhuru bila kelele zenu..tena boss ni yule yule.
 
Haijazoeleka kwenye akili za watu hasa wakaazi wa dsm kushuhudia shughuli za ufunguzi wa miradi kama ya leo kutomuona na kumsikikiza Paul Makonda akihutubia.

Hakika hili liwe fundisho kwa vijana wanao kabidhiwa majukumu ya kuwaongoza wananchi kuwa madaraka ni sawa na nguo ya kuazima.
Alikuwa sawa kabisa na akina mama wa kizaramo, wakipewa nafasi kutoa salaam kwao ni fursa ya kurusha vijembe na kejeli
 
Nafikiri hata Mh. Rais ametaka apumzike na uprising za Makonda, kuna nyingine zilikuwa ni mzigo tu kwa serikali!
Mara alete Meli ya madaktari, mara akamwagie maji kwenye mitaa eti kutibu Corona, Nilikuwa najiuliza hivi waziri mwenye dhamana yupo wapi?? Leo utasikia kakwepa kodi za mabilioni bandarini, mara kesho ameuza ardhi kwa mwekezaji, Keshokutwa utasikia anakimbizana na wanaume wenzake eti wametelekeza watoto huku panyaroad wakitesa wananchi! Aliagiza waalimu wapande daladala bure, akasahau manesi na wauguzi wanaowahi kuokoa maisha ya raia wetu! Hapa nilichoka.
 
Mkalamba ni mkalamba tu mpaka utaje watu majina!

Back
Top Bottom