Sitaki kujadili Bavicha na wivu wao, lakini hata wewe cheo cha Dc kinafiti hapa kweli? Hivi cheo hiki siku hizi ni cheap kiasi hiki?Kweli kabisa mkuu. Badala ya kujitafakari jinsi wanavyopoteza muelekeo wao wanaanza kumzodoa binti wa watu.
Yuko vizuri kuonyesha shanga hadharani? hata kama ni maisha binafsi lkn kuna maadili katika jamii huna budi kuyafuata.Kuna maisha binafsi na maisha ya kikazi. Ukioanisha aina hizo mbili za maisha unakuwa humtendei haki mtu.
Ni sawa sawa na ule mfano wa Yesu alipowaambia wale jamaa waliotaka kumpiga malaya, kwamba ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu dada.
Alipoinua macho akajikuta amebaki yeye na huyo malaya, akamwambia usitende dhambi.
Jokate yupo vizuri sana kichwani, anapewa wilaya ili azoee uongozi, ni kipaji kinachotakiwa kikuzwe.
Kaka Jerry pia ni mtu mzuri sana kwenye marketing, kwenye mauzo na matangazo, alidhihirisha ubora wake alipokuwa msemaji mkuu wa Yanga.
Kuna kizazi cha vijana ambacho hakipaswi kupotezwa, eti kwa sababu ya mambo yanayofanyika gizani.
Can you fly to KIA this weekend?, maneno hayo aliambiwa mrembo mmoja.
Acha wivu kijana..Jokate is a very smart and hardworking girl.She deserves more than being a DcMiaka ya nyuma cheo cha DC kilikuwa kinaheshimika sana miongoni mwa jamii yetu na mtu aliyekuwa anateuliwa nafasi hiyo ilikuwa lazima anajulikana kwa heshima yake.
Heshima ya cheo hicho ni pamoja na kupewa uwezo wa kusimamia tukio kubwa la kufungisha ndoa jambo ambalo ni takatifu kabisa.
Sasa kweli nafasi kama hizo wanapewa watu kama Jerry Muro au Jokate? Hapo sasa ni hakika kuwa DC tena sio mamlaka yenye heshima tena.
View attachment 821681View attachment 821682View attachment 821683
Hujui kilicho nyuma ya pazia mkuu we tazama move tu...Rais katudharirisha kumpa u DC Jakate
hahaa hahaaa''Tiss wamemfanyia vetting wameona anafaa, sasa jiulize hao Tiss na hile mamlaka ya juu watakua na akili zipi
ana kula bata", huku akiwa amevaa nusu uchi" Kama amir khan hakuwa na matukio machafu " katika maisha yake" bado hakuna ubaya wakumzuia yeye kuwa kiongozi wanchi"" .. by the way nakubaliana na hoja yko", kuwa sasa hivi kuupata uongozi wanaangalia umaarufu" sio elimu na heshimaRais w croatia ni mla bata mzuri
Ila haikumzuia kuukwa urais
Na nchi anaiongoza kwa weledi
Saiv uongozi ni umaarufu sio elimu wa heshima uliyonayo katika jamii
Amir khan alkua mcheza kriket, saizi ndie rais wa pakistan
Mwacheni akafanye kazi akharibu ataondolewa uzuri JPM hana rafiki na wazembe kazin.Awe alikua anafanya mambo ya umalaya kama amebadilika na ana uzalendo anafaa kibaya ni kua na kiongozi mwizi mpiga dili.Hao wasomi na wazee tunaowataka sisi ndo waliotufikisha hapa wamefanya mambo ya ovyo ya kupiga hela zetu heri kumchagua darasa la nne au darasa la saba kuliko kuchagua masomi majizi yanarudisha maendeleo yetu nyumaTISS nadhani huwa hawafanyi vetting kwenye baadhi ya maeneo. Mfano, social life ya mhusika, financial history ya mhusika, yaani hao TISS sidhani kama waliingia kwenye mitandao kujaribu kuona jinsi Jkate alivyo na dalili za umalaya ( hasa kukata kiuno huku anareokodiwa, kuvaa shanga na kujipositi). Ila kama mamlaka ya uteuzi ikipitia upya, nadhani watampangia kazi nyingine.
Mwacheni Mheshimiwa DC Jokate akafanye kazi aliyoteuliwa na Mheshimiwa Rais wetu. Nina hakika atafanya vizuri. Rais anatengeneza hazina ya uongozi ya vijana wadogo ambao ndio watakuwa viongozi watakao pewa nyadhifa kubwa zaidi hapo baadae kwani watakuwa wamepata uzoefu mkubwa. Hapa Kazi tu, naunga mkono uteuzi!!!Miaka ya nyuma cheo cha DC kilikuwa kinaheshimika sana miongoni mwa jamii yetu na mtu aliyekuwa anateuliwa nafasi hiyo ilikuwa lazima anajulikana kwa heshima yake.
Heshima ya cheo hicho ni pamoja na kupewa uwezo wa kusimamia tukio kubwa la kufungisha ndoa jambo ambalo ni takatifu kabisa.
Sasa kweli nafasi kama hizo wanapewa watu kama Jerry Muro au Jokate? Hapo sasa ni hakika kuwa DC tena sio mamlaka yenye heshima tena.
View attachment 821681View attachment 821682View attachment 821683
Kwako hata shoga akiwa hard working ni sawa tu.Acha wivu kijana..Jokate is a very smart and hardworking girl.She deserves more than being a Dc
Mkuu unaonekana ni shabiki mzuri wa udaku. Hakuna malaika chini ya jua, Mbowe alituhumiwa kutembea na Wema na bado ni kiongozi mkuu wa chama.Yuko vizuri kuonyesha shanga hadharani? hata kama ni maisha binafsi lkn kuna maadili katika jamii huna budi kuyafuata.
Kwako hata shoga akiwa hard working ni sawa tu.
Kumbe kuna wakati una ujua ukweliHakuwa na matendo ya umalaya umalaya. Jokat kinachomdhalilisha ni ile video ya kukata mauno huku anarekodiwa, pia kuoiga picha huku shanga inaonekana na kuiweka kwenye mitando ni kinyume na maadili ya mtanzania