Chenge: CCM wanamtengeneza Lowassa mpya?


Kama una ushahidi wa Ufisadi nenda Mahakamani otherwise shutup-Mchungaji Kiongozi Nabii Dr. Edward Lowassa
 
eti lowassa alikuwa na nguvu,nguvu gani hiyo??na chenge kachaguliwa pale kwa kuwa ni mbobezi katika sheria
Kwahiyo vile anaimudu sharia hata awe mwizi na fisadi ni sawa tu eh!!?nani alikuwaambia criteria ya uenyekiti wa bunge ni ugwiji wa sheria ?
 
sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa ccm lazima uwe na sifa kama za chenge,wewe uoni jinsi Makufuli kidogokidogo sura yake kamili inavyojitokeza sasa subiri wapinzani watakavyouwawa Zanzibar
 
Baada ya kukosa hoja, tutarajie mada nyingi za kipuuzi kama hii. Lowassa ni untouchable huko CHADEMA na UKAWA. Kwa CCM alikatwa bila tatizo lolote. Chenge kutoa wabunge wachungulia shanga nje ni sehemu ya majukumu yake, vinginevyo Ndugai angekuwa maarufu zaidi Tanzania kwani aliwashikisha adabu vilivyo wabunge wafanya fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…