Frank Kubwera
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 244
- 112
Mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki mze wavijisenti. Amekubwa na aibu ya kuzomewa na wanakijiji wa kijiji cha Mwakibuga jimboni kwake.
Dhahama hii imemkuta mbunge huyu (aliyetumbua dili ya rada 2003), alikuwa akihutubia wananchi wa kijiji hicho. Sakata lilianza pale Chenge alipowaambia wananchi waacheakushiriki harakati za Chadema. Gafla watu wakaanza kugunaguna. Naye bila kujua akarudia maelekezo yake hayo. Ndipo kundi la wanachi wakamzomea kwa sauti kubwa.
Baada ya kuzomewa chenge akawaamuru police kuwakamata wazomeaji. Hapo ndipo khali ikawaka ghafla na lolote likichelea kutokea hadi mzee chenge alipotolewa chini ya escort ya FFU.
Kwa sasa Watu wa Bariadi wameapa kutodanganyika na liCCM tena.