kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.
Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.
Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo
No Mimi mzalendo
Kingukitano
Tandaimba
Tanzania imegubigwa na wananchi wengi wenye fikra fupi fupi kama wewe...

Kwani nisome nini we binti huoni change anachokisoma nakukisikia?USISIFIE KABLA YA KUISOMA RASIMU USIWE MLEVI WA MANENO TU,LOBENGULA ALIDANGANYWA KWA MANENO MAANDISHI YAKAWA TOFAUTI AKAIKABIDHI ZIMBAWE KWA WAKOLON.NAKUSHAUR WASIKILIZE WATAALAM WASIO WANASIASA,maana hawana ushabiki
Mkuu kingukitano, ndio upeo wako wa uchambuzi wa mambo ulipofikia, au ulikuwa unatania tu?
hakika mkuu,mijitu mingine ni mbulula sana,ndio maana safari ya Tanzania tuipendayo ni ndefu bado.
Yani wananchi wa Tanzania ni Shida Sana itatuchukua muda Sana
nchi hii haiendelei kwasababu ya wapu...uz kama mtoa mada
sana tu aisee na kwa upinzani wetu huu wa sera ya mikate, maji ya uhai na gongo... itachukua karne
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.
Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.
Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo
No Mimi mzalendo
Kingukitano
Tandaimba
Nyie mmelewa uvivu was wanasiasa was Tanzania waupinzani mmefikia kuamini kuwa TanAnia itapaa kiuchumi kwa nguvu ya upuuzI was siasa A kishenzi.
Hahahahaahhahahaaahah mbavu sanguasante kwa tarifa... wasubiri wateja wa Azam bread and mineral water waje wakutukaneee mpaka
bado unaendlea kupost upuuz.
Kingukitano umelogwa wewe unahitajika msaada wa haraka ili tuokoe akili zako....!!