yani jibu ni rahisi kiasi kwamba nimeona aibu ata jinsi kukupa duh....👇👇👇
Fafanua sasa kivipi???huwezi kujumlisha hiyo mia uliyobaki nayo katika deni unalodaiwa,kwa sababu mia ipo ndani ya deni na hakuna kilichopotea.
shilingi Mia iliyobaki ipo ndani ya elfu kumi aliyokopa,hawezi tena kuijumlisha katika deni lilibaki baada ya kulipa miambili.mzunguko wa mwisho ni batili.Fafanua sasa kivipi???
Kwa maana nyingine mzunguko huo umepoteza 100 au??
Wacha tuugeuze huu mfano kwenye elfu kumi pesa tuweke mbuzi milioni mojashilingi Mia iliyobaki ipo ndani ya elfu kumi aliyokopa,hawezi tena kuijumlisha katika deni lilibaki baada ya kulipa miambili.mzunguko wa mwisho ni batili.

.haya tuanze upya.Hakuna mbuzi wa kuuzwa milioni 1Wacha tuugeuze huu mfano kwenye elfu kumi pesa tuweke mbuzi milioni moja.haya tuanze upya.
Umeenda ukweni ukaambiwa zinatakiwa mbuzi 1ml.
Ukaenda kwa bro akakupa 500k mbuzi,dada 500k mbuzi.uliporudi kwa mshenga akakujuza kwamba mahari imepunguza mpaka 9700k,ukabaki na mbuzi 30k.
Ukaona hapana wacha nishushe deni kidogo,ukatoa 10000 kwa dada,10000 kwa kaka.kwako wakabaki 1000.
Kimsingi deni lililobaki kwa kila mmoja ni 490k mbuzi.haya tuchukue mbuzi 490k+490k=mbuzi 980k.kanunue mbuzi laki 980k ukalipe,mimi nitakuulizia wale mbuzi elfu moja uliobaki nao,ni faida au ni chenji!!!!
Hata tukisema alikopa 4900 muda huo huo,si 5000 bado hesabu hazikuli.

Kinachotakiwa kujumlishwa ni ulichospend na sio ulichobaki nacho,kwa sababu kilichobaki hakileti maana hapo, na kinaweza kuwa zaidi au chini ya 50.
tunarudi kule kule,huwezi kujumlishia mbuzi uliobaki nao katika ambao unadaiwa.kwa maana itapunguza deni kama ambavyo ulirudisha hao mbuzi wengine,na hao walipaswa kurudi,ila ukaamua ubaki nao mkuu.Wacha tuugeuze huu mfano kwenye elfu kumi pesa tuweke mbuzi milioni moja.haya tuanze upya.
Umeenda ukweni ukaambiwa zinatakiwa mbuzi 1ml.
Ukaenda kwa bro akakupa 500k mbuzi,dada 500k mbuzi.uliporudi kwa mshenga akakujuza kwamba mahari imepunguza mpaka 9700k,ukabaki na mbuzi 30k.
Ukaona hapana wacha nishushe deni kidogo,ukatoa 10000 kwa dada,10000 kwa kaka.kwako wakabaki 1000.
Kimsingi deni lililobaki kwa kila mmoja ni 490k mbuzi.haya tuchukue mbuzi 490k+490k=mbuzi 980k.kanunue mbuzi laki 980k ukalipe,mimi nitakuulizia wale mbuzi elfu moja uliobaki nao,ni faida au ni chenji!!!!
Hata tukisema alikopa 4900 muda huo huo,si 5000 bado hesabu hazikuli.
Basi turudishe nao.tunarudi kule kule,huwezi kujumlishia mbuzi uliobaki nao katika ambao unadaiwa.kwa maana itapunguza deni kama ambavyo ulirudisha hao mbuzi wengine,na hao walipaswa kurudi,ila ukaamua ubaki nao mkuu.