Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,452
- 609
chemsha ubongo fasta..
Bubu atatumia njia gani kumwambia Kipofu kwamba Mke wake anachukuliwa na Kiziwi ???

me naona atatumia ishara tu coz bubu hazungumzi..