Chemsha bongo

Chemsha bongo

Lucas J Ntemi

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
22
Reaction score
3
Mwalimu mkuu alitembelewa na wageni idadi kadhaa, akawapa viti pia idadi kadhaa, wakaamua kukaa kama ifuatavyo:

Wakikaa mmoja mmoja kwenye kila kiti mgeni mmoja anakosa kiti,
Wakikaa watatu watatu kwenye kiti kimoja kiti kimoja kinabaki,
Je! Wageni walikuwa wangapi na viti vilikuwa vingapi?
 
Subiri wataalamu waje wakujibu, mm nilisoma history
 
Tangu lini watu 3 wakaa kwenye kiti kimoja au Kochi
 
Back
Top Bottom