Wewe Preta, unaleta mzaha! fulana??? Tumeambiwa ni shati!!!! Si unakumbuka hesabu za maumbo, ukiambiwa mchoro hapo juu ni right angled triangle, basi you have to stick on that instruction! Anyway in order to argue our case between you and me, let us define a shirt and a fulana ie let us describe the characteristic/s of a shirt as distinct from those of a fulana. Sidhani kama kwenye choro huo tutaweza!
Chukua mende mpitishie shingoni atakua na njia saba za kutoka nje. Ukimpitishia mkononi njia in saba.ukimpitisha sehemu yoyote kwenye hayo matundu atakua na njia saba za kutoka nje.matundu yanayoonekana ni nane. 7×8=56