Ukiangalia hiyo attachment hakuna jibu la kirahisi hivyo ila ukiaangalia tu na kuaanza kukokotoa ni 27.Kwa maoni yangu hakuna jibu kwa kuwa picha ya kwanza 10kg inaonyesha kati ya paka na panya,ya pili ni kama inaelekea kupoint reading ya mizani,ya tatu inaonyesha uzito wa mbwa,ya nne inauliza uzito wa panya. Hivyo hakuna jibu kwa kuwa uzito ulionyeshwa haukuelekezwa kwa scale reading ya mizani.