Chemsha bongo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,671
Naomba jibu
 

Attachments

  • 1389371604733.jpg
    39.6 KB · Views: 626
Let nyau be x...
Panya be y...
Mbwa be z....

Wacha tuchanganye kg zote hapo tunazozijua....10+20+24=54....

Katika hizo group hao wanyama wamejitokeza mara mbili mbili....

Maana yake...

2x+2y+2z=54....

Tutoe common 2 upande zote....

2(x+y+z)=2(27)....

Tugawe kwa 2 both sides...

Itakua hivi....

x+y+z=27.....


Kwa hiyo panya,paka na mbwa wote watafika uzito wa 27....

utafiti naomba zawadi yangu...
 
Last edited by a moderator:
Nitumie zawadi tafadhari
Let Paka = x
Panya = y
Mbwa = z

x + y = 10...........(1)
y + z = 20...........(2)
x + z = 24...........(3)

From equation (1)
Let x = 10 - y........(4)
y+ z = 20
(10 - y) + z = 24

y + z = 20
z - y = 24 - 10

y + z = 20
z - y = 14......(5)

From equation (5)
z - y = 14
z = 14 + y ..........(6)
Then, we have
y + z = 20
y + (14 + y) = 20
y + 14 + y = 20
y + y + 14 = 20
2y + 14 = 20
2y = 20 - 14
2y = 6
y = 3 (kwa hiyo Panya ana uzito wa 3kg)

From equation (4)
x = 10 - y
x = 10 - 3
x = 7 (kwa hiyo Paka ana uzito wa 7kg)

From equation (6)
z = 14 + y
z = 14 + 3
z = 17 (kwa hiyo Mbwa ana uzito wa 17kg)

Kupata uzito wa wote
= uzito(Panya + Paka + Mbwa)
= y + x + z
But y = 3, x = 7 and z = 17
= 3 + 7 + 17
=27kg
Cc: farkhina, utafiti

 
Last edited by a moderator:
safi sana dada farkhina mi sio mtaalamu wa math ila kwa hili nimejaribu ku solve jibu ni hilo good
 
Last edited by a moderator:
ume copy kwa farkhina
 
Last edited by a moderator:


Hahahahaha WAHEED SUDAY wee mwisho yaani wadai zawadi mwanzoni tu kujibu swali lol😱😱😱
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…