Mzee Atom;
Let's try to use a similar analogue; kwamba kwa mfano leo ni Jumatano, ambayo jana yake ni jana, yaani Jumanne. Kwa hiyo kutokana na statement ya mwalimu kwamba laiti jana (JUMANNE) ingekuwa kesho (ALHAMISI) leo (JUMATANO) ingekuwa ijumaa! Kwa hiyo mwalimu anaongelea siku ya JUMATANO, (au leo by pure coincidence)