Uhalisia huu11 ndo litakua la kwanza kujaa ,kwanza haina outlet yoyote,alafu linapokea maji ya presha ampapo yote ya juu hayawezi jaa maana yaan outlet ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba saba lina outlet ya juu ambayo itasababisha lisijae la kwanza maana inatoa kupeleka kwenye lililo na outlet ya chini ambayo inapeleka 11 ambalo halina outlet yoyote na yaningia kwa juu hence 11 ndo jibu sahihi
Hapana kinyume chake ndio sahihi yaani kwanza 7 kisha 11Tanki Namba 11 litajaa mapema kuliko zingine kisha namba7
Sababu ni nini haswaBila shaka ni namba 7
Angalia mabomba yanayotoa maji tenk no 1 na 3 yapo chini zaidi... hafu ukija bomba linalotoa maji tenk no 7 kwenda 10 lipo juu. Kumaanisha inabidi tenki no 7 lijae then maji yaende no 10 kisha 11 litajaaSababu ni nini haswa
Nishakujibu..Why not no. 11