Chemsha bongo

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,272
7,870
.
FB_IMG_1580106876621.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tank no 11
Hapana,angalia tank no 7 ndo litaanza kwa sababu maji yakiingia yataanzia chini kule kisha ystakuwa yanapanda juu taratibu.

Wakati yanapanda yanaweza kutoka nje yakikutana na tobo ama bomba,sasa tank no 7 litajaa mwanzo kwa sababu ilimaji yatoke humu lazima yapande mpaka juu ndo yataukuta ule mlango wa kutokea maji kwenda tank lingine.


Mlango : bomba la maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom