Chemsha Bongo

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Katika darasa ya saikolojia mada ikiwa afya ya akili, mada ikiwa manic-depression hali ya mtu kufurahi na kuhuzunika kupita kiasi), mwalimu aliuliza:
"Taja aina gani anayetembea mbele na kurudi nyuma huku anapiga kelele mwisho wa pumzi zake, dakika moja baadaye anarejea kukaa katika kiti na kuanza kulia kama mtoto mdogo"
Mwanafunzi mmoja alijibu: "kocha wa mpira wa miguu".

Unajua aina nyengine ya watu wenye tabia hiyo?
 
anaweza akawa paka jike akiwa kwenye heat
 
Samahani MAMMAMIA,napata jibu moja baya sana na la aibu,kwa kweli siwezi kuliandika hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…