GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,982 Jun 2, 2017 #1 Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,781 Reaction score 11,017 Jun 2, 2017 #3 Hakuna litakalojaa maji mana hiyo ni picha...na sio kitu halisi.....hayo matanki yatabaki hivyohivyo unayaona....
Hakuna litakalojaa maji mana hiyo ni picha...na sio kitu halisi.....hayo matanki yatabaki hivyohivyo unayaona....
GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,982 Jun 2, 2017 Thread starter #4 APEFACE said: Hakuna litakalojaa maji mana hiyo ni picha...na sio kitu halisi.....hayo matanki yatabaki hivyohivyo unayaona.... Click to expand... Sio kweli
APEFACE said: Hakuna litakalojaa maji mana hiyo ni picha...na sio kitu halisi.....hayo matanki yatabaki hivyohivyo unayaona.... Click to expand... Sio kweli
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,185 Reaction score 6,508 Jun 2, 2017 #5 3
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,686 Reaction score 1,757 Jun 3, 2017 #7 1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa
1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,615 Jun 3, 2017 #8 GISAMBO said: Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu View attachment 518348 Click to expand... La 3 Ili kujaza la 4 lazima kuwe na pressure kubwa kwasababu pipe inaingiza maji kwa juu siyo chini
GISAMBO said: Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu View attachment 518348 Click to expand... La 3 Ili kujaza la 4 lazima kuwe na pressure kubwa kwasababu pipe inaingiza maji kwa juu siyo chini
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 4,443 Reaction score 10,895 Jun 3, 2017 #9 Namba 4 lazima lijae kwanza
jimmymziray JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 816 Reaction score 515 Jun 4, 2017 #10 Namba tatu
A Ajax Ace Member Joined May 28, 2017 Posts 50 Reaction score 22 Jun 4, 2017 #11 Kaudunde Kautwange said: 1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa Click to expand... Kwa sababu hio ulioitoa ww inamaana hata maji pia hayatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye hilo tank la 1 sababu hakuna uwazi unaoruhusu maji kupita
Kaudunde Kautwange said: 1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa Click to expand... Kwa sababu hio ulioitoa ww inamaana hata maji pia hayatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye hilo tank la 1 sababu hakuna uwazi unaoruhusu maji kupita
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,686 Reaction score 1,757 Jun 4, 2017 #12 Ajax Ace said: Kwa sababu hio ulioitoa ww inamaana hata maji pia hayatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye hilo tank la 1 sababu hakuna uwazi unaoruhusu maji kupita Click to expand... Duuh.. Mkuu ina maana huoni kama kwa juu ya tank kuna mdomo..!??
Ajax Ace said: Kwa sababu hio ulioitoa ww inamaana hata maji pia hayatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye hilo tank la 1 sababu hakuna uwazi unaoruhusu maji kupita Click to expand... Duuh.. Mkuu ina maana huoni kama kwa juu ya tank kuna mdomo..!??
Princ JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 285 Reaction score 91 Jun 4, 2017 #14 Kaudunde Kautwange said: 1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa Click to expand... That is on your own mind
Kaudunde Kautwange said: 1 Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine... Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2. Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa Click to expand... That is on your own mind
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,686 Reaction score 1,757 Jun 5, 2017 #15 Princ said: That is on your own mind Click to expand... Ulitaka iwe ya kwako.. eboo... Jaribu na wewe... Nyamba.fuuuuu
Princ said: That is on your own mind Click to expand... Ulitaka iwe ya kwako.. eboo... Jaribu na wewe... Nyamba.fuuuuu
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 2,358 Jun 5, 2017 #17 Number 3!!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Jun 7, 2017 #19 GISAMBO said: Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu View attachment 518348 Click to expand... la tatu.3
GISAMBO said: Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu View attachment 518348 Click to expand... la tatu.3