Very easy, haifai kwa ma genius, kama nimekosa mnibadili jinsia niwe KE.
Jipu ni 18.

81Chemsha akili ashubuhu hii kwa kufanya hesabu hii hapa,
View attachment 352354
36.Chemsha akili ashubuhu hii kwa kufanya hesabu hii hapa,
View attachment 352354
Jibu 18 hapo, period!Chemsha akili ashubuhu hii kwa kufanya hesabu hii hapa,
View attachment 352354
mkuu bigup, m nlikiwa nmefanya ile ya shule ya ngumbalu...36
Njia:-
(1+1)x(1+1)=4
(2+2)x(2+2)=16
(3+3)x(3+3)=36
Kuna njia nyingine pia inaleta jibu 18,
11x11=121 halafu 1+2+1=4
22x22=484 halafu 4+8+4=16
33x33=1089 halafu 1+0+8+9=18
mkuu hata alie leta swal hatakuwa na jib, maana amepewa majib ambayo hakuyadhani..Mkuu uko vizuri sana wacha tuhifadhi jibu hili mpaka mwisho.
Mwenzangu mi nawaachia wazijuazo,mimi haha.Ni kweli ila si dhambi kujaribu omera.
Hili hapa ndiyo jibu sahihi na njia sahii ya kufanya kwa wote waliopata 36..wamepata..36
Njia:-
(1+1)x(1+1)=4
(2+2)x(2+2)=16
(3+3)x(3+3)=36
Kuna njia nyingine pia inaleta jibu 18,
11x11=121 halafu 1+2+1=4
22x22=484 halafu 4+8+4=16
33x33=1089 halafu 1+0+8+9=18
Nina uhakika ume post swali usilokuwa na jibu lake!Chaka ila unaweza jaribu kwa kadiri uwezavyo ili kurejesha jinsia yako ya awali.
Usikariri! Sio HKL hiyo!Hili hapa ndiyo jibu sahihi na njia sahii ya kufanya kwa wote waliopata 36..wamepata..
Umeligundua hilo mkuu!?mkuu hata alie leta swal hatakuwa na jib, maana amepewa majib ambayo hakuyadhani..